Explore Westonci.ca, the top Q&A platform where your questions are answered by professionals and enthusiasts alike. Join our platform to connect with experts ready to provide detailed answers to your questions in various areas. Get precise and detailed answers to your questions from a knowledgeable community of experts on our Q&A platform.

V.
Mwambie, Aje
4. Katika kuchanganua sentensiza Kiswahili kuna hatua mbalimbali za kufuata. Mama yako
amackuomba angalau kwa uchache umtajie hatua hizo kwa mtiririko sahihi ili aweze na
yeye kukumbuka jinsi alivyokua akichanganua sentensi wakati akiwa mwanafunzi
Changanua sentensi zifuatazo kwa njia ya matawi kwa kutumia mkabala wa kimuundo na
kimapokeo
A. Watoto waliochelewa kuripoti shuleni wamechapwa lakini waliowahi kwenda
nyumbani hawajarudi.
B. Katika nchi ya vipofu chongo ni mfalme.
C. Mbuzi aliyekuja jana jioni amekufa na aliyechinjwa juzi usiku nyama yake imeliwa
na mbwa.